Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Bonanza

Tag: Bonanza

Taasisi za NHIF na PPF Wamenyana Katika Bonanza la Pamoja

Posted on: September 6, 2015September 6, 2015 - jomushi
Post Tags: Bonanza
Taasisi za NHIF na PPF Wamenyana  Katika Bonanza la Pamoja

 Kipa wa timu ya soka ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akichupa kuzuia mpira wa penati bila mafanikio wakati timu hiyo ilipomenyana na ile ya…

Continue Reading....

Bonaza la Masauni Cup Laendelea Kutoa Burudani kwa Wapenzi wa Soka

Posted on: July 7, 2015 - jomushi
Post Tags: Bonanza, Masauni CUP
Bonaza la Masauni Cup Laendelea Kutoa Burudani kwa Wapenzi wa Soka

Viongozi wa meza kuu wakifuatiliac mchezo huo kati ya Muembeladu na Kisimajongoo katika Bonaza la kukuza Vipaji kwa Vijana lililodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la…

Continue Reading....

NSSF Yaisimamisha Sekretarieti ya NSSF Media Cup

Posted on: March 15, 2015March 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Bonanza, Dar, NSSF Media Cup
NSSF Yaisimamisha Sekretarieti ya NSSF Media Cup

NSSF Media Cup, Bonanza, Dar BAADA ya kuenguliwa kwa timu tano za vyombo vya habari vya Global, Changamoto, Business Times, Radio Maria na New Habari…

Continue Reading....

NSSF Media Cup 2015 Yafunguliwa Dar…!

Posted on: March 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Bonanza, Dar, NSSF Media Cup
NSSF Media Cup 2015 Yafunguliwa Dar…!

    Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akihutubia baada ya kufungua mashindano hayo.  Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga…

Continue Reading....

Matukio Bonanza la Nguvu ya Kodi…!

Posted on: October 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Bonanza, Nguvu ya Kodi
Matukio Bonanza la Nguvu ya Kodi…!

Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Bw. Leornad Thadeo  akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika…

Continue Reading....

Mashindano ya Kukuna Nazi kwa Akinababa, Bonanza la Toyota Tanzania

Posted on: August 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Bonanza, Toyota Tanzania, Wafanyakazi
Mashindano ya Kukuna Nazi kwa Akinababa, Bonanza la Toyota Tanzania

 Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach…

Continue Reading....
thehabari