BENKI ya NMB imezindua akaunti mpya kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati ijulikanayo kama ‘NMB FANIKIWA ACCOUNT’ ili waweze kukua kibiashara pamoja na…
Continue Reading....Tag: Benki ya NMB Plc
NMB yawezesha kufanyika kwa mashindano ya michezo Zanzibar
MAKAMU wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd, ameipongeza Benki ya NMB kwa kudhamimi Mashindano ya Michezo kwa…
Continue Reading....Wafanyabiashara Dar wanufaika na mafunzo ya kijasiliamali
BENKI ya NMB imekutanisha wafanyabiashara zaidi ya 500 wa jijini Dar es Salaam waliopo katika jumuia ya wafanyabiashara…
Continue Reading....Benki ya NMB, Mastercard yawaingiza wakulima kidijitali
BENKI ya NMB imesaini makubaliano na Kampuni ya Mastercard kufanya kazi kiushirikiano ili kuhakikisha inaiinua sekta ya kilimo nchini Tanzania kwa kuanzishwa kilimo…
Continue Reading....NMB Yaorodhesha Hati Fungani zake kwenye soko la hisa – DSE
BENKI ya NMB leo imeorodhesha kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 ilichokipata kutokana na mauzo ya hati fungani katika Soko…
Continue Reading....Wananchi Kufanya Malipo ya Kodi za TRA Popote kwa NMB
WANANCHI sasa wanaweza kulipa malipo ya kodi mbalimbali za Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kutumia Benki ya NMB. Akizungumza na waandishi wa habari leo…
Continue Reading....