Continue Reading....
Tag: Afrika Kusini
Vurugu za Ubaguzi Afrika Kusini; Nigeria Yaondoa Mabalozi Wake
TAIFA la Nigeria limewaita mabalozi wake waishio nchini Afrika Kusini kurejee nyumbani kufuatia mashambulizi ya kibaguzi dhidi ya wenyeji yanayofanyika Afrika Kusini. Mpaka sasa watu…
Continue Reading....Rais Zuma Awatembelea Raia wa Kigeni Wanaoshambuliwa Afrika Kusini
RAIS Jacob Zuma amewatembelea watu walioathirika na ghasia hizo, mauwaji pamoja na kuibwa kwa mali zao huku akiahidi kukabiliana vilivyo na wimbi la mashambulio hayo.…
Continue Reading....Idara Yamtetea Pistorius, Yataka Afungwe Nje
IDARA ya Kurekebisha Tabia nchini Afrika Kusini imeomba mwanariadha maarufu wa nchi hiyo Oscar Pistorius anayetuhumiwa kwa mashtaka ya kumuua mpenzi, Reeva Steenkamp apewe kifungo…
Continue Reading....ANC Yashinda Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini
CHAMA cha ANC kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika Jumatano ya wiki iliyopita. Tume ya uchaguzi nchini Afrika kusini imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu…
Continue Reading....