Steps Entertainment Wawasaidia Watoto wa Shule ya Buguruni Viziwi Posted on: October 12, 2012 - jomushi Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Steps wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Buguruni Viziwi eneo la Malapa jijini Dar es Salaam.