ST. Therese Lisieux yawaaga wahitimu STD Seven

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la sita wa shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakiongozwa na muongoza kwaya kuimba wimbo wa kuwaaga na kuwapongeza wahitimu wa kidato cha saba katika shule hiyo hapo jana.

SHULE ya St. Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam imefanya maafali ya kuwaaga wahitimu wa Darasa la Saba katika shule hiyo. Zifuatazo ni picha mbali mbali kuonesha matukio ya maafali hayo

Baadhi ya wahitimu wa Darasa la Saba (7) katika shule ya ST. Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi katika hafla ya mahafali ya Darasa la Saba (7) katika shule hiyo.
Baadhi ya wanafunzi wa Darasa la Pili wa Shule ya ST. Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakitoa heshima ikiwa ni ishara ya heshima ya kuwaaga wahitimu wa Darasa la Saba katika shule hiyo ilyofanyika mwishoni mwa wiki.

Related Post

2 thoughts on “ST. Therese Lisieux yawaaga wahitimu STD Seven

  1. After going through your well structured and point hitting write up, I have decided to share it with my blog viewers. Can I have your article republished on my site with a link back to your site? I find it beneficial and also intriguing for my teaming guests and since I don’t have much time to write new write-up often, my readers will be kept up to date from your enormous knowledge.

  2. After going through your perfectly structured and point hitting write up, I have decided to share it with my blog visitors. Can I have your article republished on my website with a link back to your blog? I find it informative and also interesting for my teaming visitors and since I don’t have much time and energy to write new content frequently, my guests will be kept up to date from your enormous knowledge.

Comments are closed.