Juma Kaseja wa Simba akinyanyua juu Kikombe cha Ubingwa wa Ligi Kuu ya VodacomBaadhi ya Mashabiki wa Simba wakishangilia kipigo cha kutisha kwa Yanga (5-0)Ni kilio kwa Yanga na Kicheko kwa SimbaBaadhi ya wachezaji wa Simba wakivishwa medali za Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom