Rais wa Zanzibar Dk. Shein Afanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, Diane Corner Posted on: December 4, 2012 - jomushi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Diane Corner, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu]