
Tanzania Mhe. Benjamin Mkapa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim
Chisano wakifuatilia mojawapo ya mikutano ya Kongamano la UKIMWI kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa mjini Washington. Pembeni ni Mhe. Mwanaidi
SinareMaajar, Balozi wa Tanzania Marekani na Dr. Ellen Senkoro wa Taasisi
ya Benjamin Mkapa.

Mkondya-Senkoro, Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa
HIV/AIDS mara baada ya kuwasili hotelini tarehe 21 Julai 2012, kuhudhuria
Kongamano la XIX la Kimataifa la UKIMWI linalofanyika Mjini Washington
D.C.

2012, kuhudhuria Kongamano la XIX la Kimataifa la UKIMWI linalofanyika
Mjini Washington D.C. Kushoto ni Balozi wa Tanzania Marekani Mhe. Mwanaidi
Sinare Maajar