Rais Shein Azungumza na Wizara ya Habari, utalii, Utamaduni na MichezoKatibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Afani Othman Maalim, akionesha kitabu cha jaduweli katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha robi mwaka kutoka Julai hadi Machi 2013/2014, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]