Rais Kikwete aongoza kikao maalumu Kamati Kuu ya CCM Posted on: March 29, 2012 - jomushi Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmshauri kuu ya CCM ikulu jijini Dar es Salaam jana mchana (Picha na Muhidin Issa Michuzi)