Rais Kikwete amuaga Balozi wa Denmark Posted on: November 29, 2011 - jomushi Rais Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Denmark aliyemaliza muda wake wa kazi nchini, Bjarne Henneberg Sorensen Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 29, 2011. (Picha na IKULU)