
Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis (katikati) alipofika Ofisini kwake akiwa katika ziara ya Mkoa huo iliyoanza leo,(kushoto) Mkuu wa Wilaya Mjini Abdi Mahmoud Mzee, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu]


ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alitembelea ujenzi huo akiwa katika ziara ya Mkoa huo iliyoanza. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais Dk Shain Katika Ziara Yake Mkoa wa Mjini Magharibi Machi 2013
