Pinda afungua kongamano la utumishi wa umma kimataifa Posted on: June 20, 2011 - jomushi Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifungua kongamano la siku nne wa kimataifa wa utumishi wa umma leo jijini Dar es Salaam.