Mmoja wa wamiliki wa magari yaliyoangukiwa ukuta akitafakari!
Ulinzi mkali eneo la tukio uliofanywa na Polisi kuzuia vibakaUlinzi mkali eneo la tukio uliofanywa na Polisi kuzuia vibakaNguzo za zege zinavyoonekana baada ya kung’oka na kuangukia magariNguzo za zege zinavyoonekana baada ya kung’oka na kuangukia magariBaadhi ya wamiliki magari yalioangukia na ukuta wakiorodhesha majina yaoSisi magari yetu hayakuguswa na ajali hiyo japo yalikuwa yameegesha maeneo hayo hayo, lakini tunayatoa vipi..1?