Kwa wale wapenzi wa soka hasa wapenzi wa Mnayama Simba najua Mwishoni mwa wiki siku zao hazikwenda sawia baada ya timu yao kukubali kichapo cha bao 2-0 kutoka kwa Yanga Mchezo uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam. Picha na Michuzi matukio
Kama Ulipitwa: Pata Picha 20 Mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga
