Nyumbani kwa babu wa Loliondo kulivyofurika Posted on: March 13, 2011March 14, 2011 - jomushi Nyumbani kwa babu wa Loliondo kulivyofurika
Mungu Amekisikia kilio cha watu wake alio waumba kwa mfano wake, Hivyo awashushia uponyaji kupitia Mchunga mstaafu.
Yatupasa sisi watu yaani Binadamu(Kuungana na wakristo kote ulimwenguni kutafakari uponyaji huu ni kutoka kwa mungu tu).
Mbona watu wana huzuni kama wako msibani? Si wanatakiwa kuwa na matumaini…?