Picha hii imepigwa jana na mmoja wa wadau wa mtandao huu eneo la Uru-Mawella, Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoa wa Kilimanjaro. Wazazi hawa wawili walikutwa wakisaidiana majukumu ya malezi, mwanaume akiwa amembeba mtoto huku akiongozana na mzazi mwenzake, haikujulikana mara moja walikuwa wakitoka wapi.
Nani Kasema Mwanaume Habebi Mtoto Mgongoni…! Haki Sawa Kwa Wote
