Muulize Swali Lolote Mohammed Dewji Atakujibu Hapa…!

Msomaji na mdau wa mtandao huu unakupa nafasi wewe kumuuliza maswali/swali lolote lile Afisa Mtendaji Mkuu wa MeTL Group, Mohammed Dewji. Maswali yote yatajibiwa na kutolewa ufafanuzi wa kina. Tutakuwa na mahojiano naye karibuni. Asanteni sana.

Utaratibu wa kumuuliza maswali ni kwa kukomenti kwenye post hii kisanduku cha maoni, Zingatia Kanuni na sheria ikiwemo kutotumia lugha zisizo rasmi.

Pia waweza kutoa maoni yako kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ukiwemo ukurasa wa Mohammed Dewji : https://www.facebook.com/mohammeddewjitz/

au Ukurasa wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL):https://www.facebook.com/MeTLGroup/photos

Related Post

One thought on “Muulize Swali Lolote Mohammed Dewji Atakujibu Hapa…!

  1. Habari za leo kaka.
    Pole kwa majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa letu kipenzi TANZANIA.
    naomba kujua kama huwa unanunua muhogo mkavu uliokuwa tayari kwa kusaga unga wa ugali.

Comments are closed.