Msiba wa Hawa Ghasia Kijijini Naumbu, Mtwara Posted on: February 15, 2013 - jomushi Mama Salma Kikwete akimpa pole Mama Hawa Ghasia kutokana na msiba wa Abdulrahman Ghasia, leo katika Kijiji cha Naumbu, Mtwara. (Picha na Bashir Nkoromo)