Michael Changalawe afuzu Olimpiki Posted on: May 10, 2012 - jomushi Makamu Mwenyekiti wa chama cha ngumi za ridhaa nchini Michael Changalawe akipa mkono bondia Selemani Kidunda wakati wa kumpongeza baada ya kufuzu katika mashindano ya Olimpiki yanayotarajia kufanyika hivi karibuni.