Mfalme wa Morocco Mohammed VI (aliyetangulia mbele) akishuka katika Ndege mara alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa ajili ya ziara ya siku tatu ya kikazi Jijini Dar es Salaam.Akisalimiana na Dk. Magufuliakipigiwa mizinga
Dk. Magufuli akimtambulisha Makamu wa Rais mama Samia kwa mgeniMazungumzo Ikulu