Jumuiya ya Watanzania Kusini mwa California Yakutana pt 1

Mjumbe Michael, akiwa na kijana wake

 

Mwenyekiti Bi. Rabia akizungumza machache na wajumbe
Mwenyekiti akiendelea.....
Mwenyekiti amkaribisha mweka hazina wa Jumuiya, Khalifa Majid kueleza kutoa mchanganuo wa mapato na matumizi ya Jumuiya
Ndg. Khalifa akiendelea kuchambua

 

Mjumbe Mujtaba Datoo naye (mwenye suti) naye alikuwa na jukumu la kuwaeleza wajumbe umuhimu wa ushirikiano
Mjumbe Mujtaba akiendelea kwa unyenyekevu mkubwa
Mujtaba
Mjumbe Abdul Majid (mwenye suti) alikuwa na machache kuhusu Diaspora
Abdul Majid akiendelea......
Mmoja wa viongozi, Da Namtasha(mwenye kilemba) naye alisogea mbele kuelezea matumizi ya kamati mbalimbali
Bi. Namtasha akiendelea.....
.....jamani mambo yenyewe ndio yako hivi....
....na hivi....
si mchezo
Mjumbe Michael, akiwa na kijana wake
Prof. Mhunzi (mwenye sweta jekundu) akimsikiliza mjumbe kwa makini
Wajumbe wakibadilishana mawazo na mwenyekiti mstaafu Ngd. Iddy Mtango (Aliyesimama)
Wajumbe wakiwa manajipatia chakula
Mjumbe Khalifa, akiwa ni mwenye furaha kukutana na wajumbe wenzake
Sahani zikianza kugawiwa

Wajumbe

Mjumbe Mujtaba akijivuta taratibu kupata chochote

 

(Picha zote na Mpiga Picha wetu)

 

Related Post

2 thoughts on “Jumuiya ya Watanzania Kusini mwa California Yakutana pt 1

  1. jumuiya ina blog yake kama inayo ni bora ingetangazwa tupo watanzania wengi tuu kusini kwa california lakini hatuna habari zozote kuhusiana na jumuiya hii if its possible to get all the information it will be a big help….

    1. Daniel, Jumuiya ina mpango wa kutengeneza Blog, ila kwa maelezo zaidi na kufahamu ni namna gani unaweza ukajumuika na Watanzania wenzio hapa California ya Kusini. Wasiliana na Mwenyekiti Bi. Rabia kwa email hii: radahal@aol.com

      Asante

Comments are closed.