Matukio ya vurugu za waandamanaji Uingereza

Vurugu za nchini Uingereza

Baadhi ya magari na majengo yakiwaka moto baada ya kuchomwa na wafanyavurugu

Ni moto, moto, moto katika baadhi ya maeneo ya miji ya vurugu.

Related Post

2 thoughts on “Matukio ya vurugu za waandamanaji Uingereza

  1. Mambo Muze you have done a good job for realy, but for me napenda ile sura ya zamani kwani kwangu ilikuwa na Identification ya pekee ikilinganishwa na blog nyingine. Pia kwa upande wa mawasiliano sijamuona member wenu mmoja sijafahamu tatizo ni nini. Nafahamu kazi mnayoifanya ni ngumu na kubwa lakini ni lazima ukubali kuchoka kuteseka ili kufanikisha yale tu mliyojipangia. For this point taken kwamba mpo juu.
    -Pia habari za vitimbi zimekaa mno kama mdau wa the habari naomba mbadirishe pleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez

    1. Hills, Asante sana kwa kuwa Mdau wetu wa muda mrefu….. samahani sana kwamba unapenda ile sura ya zamani….ila tumebadilisha ili tuweze kuweka habari nyingi zaidi na matangazo hapo baadae….pia kuna blog walibadilisha sura yao ikafanana ya yetu :(… Member wetu bado yupo, na nimeshaweka mawasiliano yake.. Vitimbi vinakuja.. tuvumilie kidogo kwa sasa kwani kazi zimebana ndio maana unaona siku moja moja, ila muda si mrefu vitakuwepo kila siku…..

      Endelea kutukosoa, kutupongeza na usichoke kutoa maoni yake….., maoni yake ni muhimu sana kwetu….

Comments are closed.