Matukio mitaani Posted on: September 28, 2011September 28, 2011 - jomushi Tunapiga stori na mtasha! Mmoja wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam (aliye kaa chini) akizungumza na wageni kutoka nje ya nchi (watalii) ndani ya bustani ya eneo la Azania Front katikati ya Jiji kama alivyokutwa na mpiga picha wetu.