Mwili wa mmoja wa walioangukiwa na jengo hilo ukifukuliwaMwili huo ukipelekwa kuhifadhiwa muhimbiliMajeneza mawili ya miili ya baadhi ya watoto waliokufa kwa kuangukiwa na ghorofa wakielekea kuzikwaMaiti ikielekea kuzikwaNyuma ya watu ni kifusi ambacho inasadikiwa kufukia miili ya watu