Marais Wastafu Mkapa, Mwinyi Waenda Kushuhudia Kiapo cha Mugabe

Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Harare, Zimbabwe, kushiriki katika sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe Robert Mugabe, inayotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Agosti 21, 2013

Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiwasili katioka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare, Zimbabwe, walikoalikwa kushiriki katika sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe Robert Mugabe, inayotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Agosti 21, 2013. PICHA NA IKULU.

Related Post

One thought on “Marais Wastafu Mkapa, Mwinyi Waenda Kushuhudia Kiapo cha Mugabe

  1. Duh! Mkapa punguza kula baba……wewe ni mtoto mdogo sana kwa Mwinyi, ila tayari umeanza kutembelea bakora. Angalia mzee ruksa alivyo fit!

Comments are closed.