Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Bw. David Jairo akitafakari jambo mara baada ya kurejea ofisini kwake ili kuendelea na majukumu yake.Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja akiwa amemkumbatia kwa furaha kama moja ya mapokezi Katibu Mkuu wa Wizara hiyo David Jairo mara baada ya kuripoti katika ofisi za Wizara hiyo.
One thought on “Mapokezi ya David Jairo ofisini kwake katika”
Kwetu sisi ukarimu ni silka yetu Jairo na Ngeleja kukumbatiana ni moja ya desturi za kuheshimiana hilo siyo tatizo,tatizo lililopo mbele yenu wananchi wanataka umeme huko ndani msigane msi sigane sawa wadau tunahitaji umeme uchumi umeshuka maradufu kwa miezi kumi sasa saluni zimefungwa wawekezaji wa viwanda walio wengi wamerudi kwao Asia kwakifupi hali ni tete.piganeni kiufundi na siyo kisiasa tunahitaji umeme kama haiwezekani tuingie Sola kama miji midogo ya Namtumbo na Mbinga wao bwana ni Sola tu kutoka nchi jirani ya malawi lakini hata hivyo watzipandisha bei sasa wakati kwa sasa hata sh 90,000/=unapata sola yako.
Wazee jipindeni kiume bwana tupate umeme maswala ya kiufundi na Siasa hayafungamani hata siku moja mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.