Mapenzi ni kuvumiliana! Posted on: August 11, 2011 - Rungwe Jr. Naam, Wahenga waliwahi kusema “Mapenzi ni kuvumiliana.” Ni neema iliyoje kufika fainali ukiwa bado umemshika mkono umpendaye kama tuonavyo wazee hao pichani. Picha na mpiga picha maalum wa thehabari, Ujerumani
Jamani! so lovely, ila ulimwengu wa sasa hamna cha zaid ila ni kuchakachuana tuu! au kupeana talaka ! Jamani binadamu wenzangu tutoe mfano kwa wazee wetu wa zamani! inapendeza sana!
Jamani! so lovely, ila ulimwengu wa sasa hamna cha zaid ila ni kuchakachuana tuu! au kupeana talaka !
Jamani binadamu wenzangu tutoe mfano kwa wazee wetu wa zamani! inapendeza sana!