
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu akizungumza jambo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro. |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo wamjulia hali Doreen Elibarick |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akimsalimia Doreen Elibarick kabla ya kupanda ndege kwenda Marekani kwa matibabu. |
![]() |
| Utaratibu wa kuwaingiza kwenye gari kisha kwenye ndege ukiendelea na maafisa wa uwanja wa ndege wa KIA. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akifurahia Kadi zilizoandaliwa na wanafunzi wa shule ya ISM kwa ajili ya wanafunzi wenzao. Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com |







Tutazidi kuwaombea jaman