Baadhi ya maiti wa ajali ya MV Karama ya Kapuni ya Seagal zikianza kupokelewa katika Bandari ya Malindi ZanzibarBaadhi ya wanajeshi wakiwa tayari kupokea maiti na majeruhi katika meli hiyo wanaoingia bandariniMkusanyiko wa watu wakiwa katika bandari ya Malindi kushuhudia majeruhi na maiti zinazotokea eneo la ajaliMkusanyiko wa watu wakiwa katika bandari ya Malindi kushuhudia majeruhi na maiti zinazotokea eneo la ajali