Maharusi wa dev.kisakuzi.com Jumamosi hii

Maharusi Lucas Songoma (katikati) na mkewe Raeli Moses (kulia) wakiweka saini kwenye cheti cha ndoa yao mara baada ya kufunga pingu za maisha Oktoba 15, 2011 katika Kanisa Katoliki la Mt. Josef. Kushoto ni Paroko wa Kanisa hilo ambaye ndiye aliyewafungisha ndoa.

Related Post

One thought on “Maharusi wa dev.kisakuzi.com Jumamosi hii

Comments are closed.