
Madhara ya wizi wa mifuniko ya mifereji Dar es Salaam-Gari likiwa limetumbukia kwenye mfereji wa pembezoni mwa barabara ya Msimbazi jijini Dar es Salaam jana mvua ilipokuwa ikinyesha na maji kujaa kwenye mifereji hiyo eneo la Kariakoo.
Madhara ya wizi wa mifuniko ya mifereji Dar es Salaam
