Promota wa mchezo wa masumbwi Mahiyo Mkumbi katikati akiwainua juu mabondia kutambulisha mpambano wao utakaofanyika mei 11 mabibo mwisho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com Bondia Juma Fundi kushoto akitunishiana misuli na Baina Mazola baada ya kusaini mkataba wa kupigana Mei 11 katika ukumbi wa DID HALL Mabibo MwishoBondia Juma Fundi akitia saini mkataba wa kupambana na Baina Mazola mei 11 katika ukumbi wa DID Mabibo mwishoPromota wa mchezo wa masumbwi Mahiyo Mkumbi kulia akiwaonesha mkataba mabondia pamioja na viongozi wa masumbwi kabla ya kutia saini mkataba huo kwa ajili ya mpambano wa mei 11