Banda la Wakala wa MajengoWakala wa Majengo TanzaniaBanda la DawasaUnywaji wa maziwa si lazima uandikiwe na daktari, waweza kunywa tu kama hawa.Ngoja nipige na picha ya kumbukumbu kabisa na huyu ng'ombe bandia wa maziwa!Sehemu ya Banda la Wizara ya Mifugo na UvuviKulia ni mmoja wa wafanyakazi banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Kenya akimwelezea jambo mwananchi ofisi hiyo inavyofanya kazi zake.Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kenya wakiwa katika banda lao jana, ambapo walikuwa wakionesha kumbukumbu anuai za ofisi za Serikali.