Katibu Mkuu Mpya wa CCM Aanza Kazi Leo Posted on: November 16, 2012 - jomushi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijinbi Dar es Salaam, aliporipoti rasmi kazini kwenye ofisi hizo leo asubuhi