Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah SumariRais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam SumariJeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah Sumari likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam Januari 21, 2012 tayari kwa kupewa heshma za mwisho (PICHA ZOTE NA IKULU)