JK katika mazungumzo na Balozi wa Uturuki Posted on: December 13, 2011 - jomushi Rais Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uturuki aliyemaliza kufanya kazi nchini Dk. Sander Gurbuz aliyekwenda kumuaga leo Jumanne Desemba 13, 2011 Ikulu jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)