JK Awatembelea Majeruhi wa Bomu Arusha Posted on: May 8, 2013 - jomushi Taswira wakatia Rais Kikwete alipotembelea hospitali ya Mount Meru Mei 7, 2013 kufariji majeruhi wa mlipuko wa bomu katika kanisa la Olasiti jijini humo Jumapili iliyopita