JK aongoza maadhimisho ya siku ya mashujaa katika bustani za Mnazi mmoja jiji Dar Posted on: July 26, 2012July 26, 2012 - jomushi Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Juli 25, 2012 ameongoza Watanzania katika kuadhimisha siku ya Mashujaa Kitaifa katika Bustani ya Mnazi Mmoja Dar es salaam. Askari wa zamani wa Tanzania Legion KIKOSI CHA KM cha Jeshi la magereza