JK amkaribisha rais wa Liberia Ikulu Posted on: July 18, 2012July 18, 2012 - jomushi Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na mgeni wao Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia alipowasili Ikulujijini Dar es salaam leo kwa maongezi rasmi pamoja na dhifa ya kitaifa