JK Akifungua Kikao cha NEC ya CCM Dodoma Posted on: August 24, 2013 - jomushi JK akishuka kwenye ndege ya Rais Baada ya kuwasili mjini Dodoma leo kwa ajili ya ufunguzi wa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. (Picha zote na Adam Mzee). Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa NEC wakiwa kwenye kikao Dodoma.