JK aapisha mwenyekiti mpya na makamishina wa tume ya usuluhishi na uamuzi Posted on: June 19, 2012 - jomushi Kamishna Salma Abdi Chande akila kiapo Kamishna Evod Paul Mushi akila kiapo Rais Kikwete akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt Makongoro Mahanga (wa tatu kushoto) katika picha ya pamoja