Mgahawa huu unapatikana ndani ya Jiji la Santa Barbara, California. Bila shaka Mgahawa huu unaenda sambamba na ule uliopo Jijini Los Angeles, ambao ni maarufu kwa nyama ya Chura. Ama kweli palipo na Wachina hapakosi mambo! Wadau karibuni sana mjipatie nyama ya “Kobe”.

Wacheni kupotosha watu, KOBE ni mji wa JAPAN. Mnyama kobe kiingereza ambacho watu wa Santa Barbara wanatumia anaitwa TORTOISE.