
Mgeni rasmi katika ufungaji wa Kongamano hilo la DBSF 2014, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba (wapili Kushoto), Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kushoto) Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin (wapili kulia) na Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka TCRA, Habbi Gunze.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kulia) akizungumza kabla ya Mgeni rasmi kufungaji Kongamano hilo la DBSF 2014 katika Hoteli ya Naura jijini Arusha leo. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba (Kushoto), Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin (katikati) na Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka TCRA, Habbi Gunze.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kulia) akizungumza kabla ya Mgeni rasmi kufungaji Kongamano hilo la DBSF 2014 katika Hoteli ya Naura jijini Arusha leo.
Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin akisema neno la shukrani kwa washiriki na wageni wote kwa kufanikisha kongamano hilo la DBSF 2014 katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha.
Waandishi wa habari wakiwajibika wakati wa ufungaji.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akifanya mahojiano maalum na waandishi wa habari jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin baada ya kufunga kongamano hilo jijini Arusha leo.

huyu hakuna kazi anayoifanya zaidi ya kuota urais wa kuwaongoza wenye mtazamo km wake ,kwel kuna haja ya kupungauza mamalaka ya rais hasa katika kuteua.