Jana Wilayani Mkuranga…!

Nikiwa barabarani kuelekea wilayani Mkuranga
Hili ni eneo la Mkuranga Mjini
Hili ni Jengo la Kituo cha Magari ya Abiria Wilayani Mkuranga ambalo limekutwa limetelekezwa (kutotumika ipasavyo)
Mishemishe Mkuranga Mjini..!

Related Post