Jamani Uswahilini Kunavituko, Angalia Staili ya Kuingia Chooni

Uswahilini bwana..! We acha tu

Related Post

4 thoughts on “Jamani Uswahilini Kunavituko, Angalia Staili ya Kuingia Chooni

  1. Mambo hayo ndio ya kitaa. Usidhani ni fasheni, hiyo imejengwa mahususi kwaajili ya ku-offload mzigo wakati wa msimu wa mvua. yaani mvua zikianza kunyesha mchizi anachomoa kitofali kimoko cha chini halafu ngoma inogile

  2. Sasa mtu mnene na kama nimepata biere au bia nitapandaje hiyo ngazi wakati mwingine anateremka kitonga?

Comments are closed.