Hili ndilo banda la NSSF ndani ya viwanja vya Saba Saba Posted on: June 30, 2011 - jomushi Hili ndilo banda la NSSF linavyoonekana kwa nje. NSSF inashiriki katika Maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea ndani ya viwanja vya mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam.