Hii ndio barabara ya mabasi ya mwendo kasi Dar

Hii ndio barabara ya mabasi ya mwendo kasi Dar
Baadhi ya mafundi wakiendelea na matengenezo ya barabara ya mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam, mafundi hawa walinaswa na kamera ya Thehabari leo eneo la makutano ya mitaa ya Dosi na Mapipa Magomeni. (Picha na Joachim Mushi)

Related Post