Hawa ndio warembo wa Dar Indian Ocean 2012 Posted on: June 21, 2012June 21, 2012 - jomushi HAWA NDIYO WAREMBO WA MISS DAR INDIAN OCEAN 2012 WATAKAOWASHA MOTO KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JUNE 22, 2012 Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 wakiwa katika picha ya pamoja.