Ule Mradi wa Muunganisho Ujasiriamali Vijijini (MUVI) unaendelea na shughuli zake
Kikundi cha MUVI moto moto Amani Makoro wakimsikiliza afisa mikopo wa SIDO, Bw. Seleman S.MkingaMUVI Amani makoro wakiskiliza jambo kwa umakini wa hali ya juu wakati wa uhamasishaji shamba darasa ktk kijiji cha Amani MakoroAfisa Kilimo wa Wilaya ya Mbinga Bw Cathbert Mwinuka akitoa mafunzo kwa kikundi cha moto moto Amani Makoro